Joshua 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua akatengeneza visu hivyo vya jiwe gumu na kuwatahiri Waisraeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya gumegume na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akajifanyia visu vya mawe ya gumegume, akawatahiri wana wa Israeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua akatengeneza visu hivyo vya jiwe gumu na kuwatahiri Waisraeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya mawe magumu sana na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya mawe magumu sana na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akajifanyia visu vya mawe ya gumegume, akawatahiri wana wa Israeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua akatengeneza visu hivyo vya jiwe gumu na kuwatahiri Waisraeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipojitengenezea visu vya mawe makali, akawatahiri wana wa Isiraeli katika Kilima cha Araloti (Tohara).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akajifanyia visu vya mawe ya gumegume, akawatahiri wana wa Israeli huko Gibea-haaralothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua akatengeneza visu hivyo vya jiwe gumu na kuwatahiri Waisraeli kule Gibea-Haraloti.