Joshua 5:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini hadi walipopona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilikuwa walipokwisha kutahiriwa taifa zima, wakakaa kila mtu mahali pake maragoni, hata walipopoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini mpaka walipokuwa wamepona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya taifa lote kutahiriwa, waliendelea kukaa kambini mpaka walipokuwa wamepona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ilikuwa walipokwisha kutahiriwa taifa zima, wakakaa kila mtu mahali pake kambini, hadi walipopona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaume wote walipokwisha tahiriwa walikaa katika sehemu zao humo kambini mpaka walipopona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hao wote walipokwisha kutahiriwa, wakakaa papo hapo makambini, mpaka waishe kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilikuwa walipokwisha kutahiriwa taifa zima, wakakaa kila mtu mahali pake maragoni, hata walipopoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaume wote walipokwisha kutahiriwa walikaa katika kambi mpaka walipopona.