Joshua 6:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akalipeleka Sanduku la Mwenyezi Mungu kuzungushwa huo mji, likizungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akalipeleka sanduku la Bwana liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa kambini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akalipeleka Sanduku la BWANA kuzunguka huo mji, likazungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akalipeleka Sanduku la bwana kuzungushwa huo mji, likizungushwa mara moja. Kisha watu wakarudi kambini kulala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa humo kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua aliwafanya wale watu wauzunguke mji mara moja kila siku wakiwa wamebeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu na kurudi kambini kulala usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wakalizungusha Sanduku la Bwana na kuuzunguka mji huo wote mzima mara moja, kisha wakaingia makambini, wakalala humo makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akalipeleka sanduku la BWANA liuzunguke huo mji, likauzunguka mara moja, kisha wakaenda kambini wakakaa kambini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua akawaamuru wale watu wauzunguke muji mara moja kila siku wakiwa wanabeba Sanduku la Agano la Yawe na kurudi katika kambi kulala usiku.