Joshua 6:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua akaamka asubuhi na mapema siku iliyofuata, nao makuhani wakalichukua Sanduku la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua akaamka mapema asubuhi iliyofuata na makuhani wakalichukua Sanduku la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua akaamka mapema asubuhi iliyofuata nao makuhani wakalichukua Sanduku la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi yake Yoshua akaamka alfajiri na mapema, na makuhani wakalibeba lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake Yosua akaamka na mapema, nao watambikaji wakalichukua Sanduki la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao makuhani wakalichukua sanduku la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui yake Yoshua akaamuka mapema sana, na makuhani wakalibeba lile Sanduku la Agano la Yawe.