Joshua 6:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya pili yake waliuzunguka huo mji mara moja; na kurudi tena kambini kwao. Walifanya hivyo kwa muda wa siku sita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja na kurudi kambini. Wakafanya hivi kwa siku sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja, wakarejea kambini; ndivyo walivyofanya siku sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya pili yake waliuzunguka huo mji mara moja; na kurudi tena kambini kwao. Walifanya hivyo kwa muda wa siku sita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya pili wakazunguka mji mara moja na kurudi kambini. Wakafanya hivi kwa siku sita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja na kurudi kambini. Wakafanya hivi kwa siku sita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja, wakarejea kambini; ndivyo walivyofanya siku sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya pili yake waliuzunguka huo mji mara moja; na kurudi tena kambini kwao. Walifanya hivyo kwa muda wa siku sita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuuzuguka huo mji mara moja siku ya pili, wakarudi makambini. Nidvyo, walivyofanya siku sita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya pili wakauzunguka mji mara moja, wakarejea kambini; ndivyo walivyofanya siku sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa siku ya pili, waliuzunguka ule muji mara moja; na kurudi tena katika kambi kwao. Wakafanya hivyo kwa muda wa siku sita.