Joshua 6:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wale vijana wapelelezi wakaenda; wakamleta Rahabu, baba yake na mama yake, ndugu zake na watu wote wa jamaa yake, wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wale vijana waliofanya upelelezi wakaenda kumleta Rahabu, baba yake na mama yake, na ndugu zake na watu wote waliokuwa pamoja naye. Wakaleta jamaa yake yote na kuwaweka mahali nje ya kambi ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya matuo ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wale vijana wapelelezi wakaenda; wakamleta Rahabu, baba yake na mama yake, ndugu zake na watu wote wa jamaa yake, wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wale watu waliofanya upelelezi wakaenda kumleta Rahabu, baba yake na mama yake, ndugu zake na watu wote waliokuwa pamoja naye nyumbani mwake. Akaleta jamaa yake yote na kuwaweka mahali nje karibu na kambi ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wale vijana waliofanya upelelezi wakaenda kumleta Rahabu, baba yake na mama yake, na ndugu zake na watu wote waliokuwa pamoja naye. Wakaleta jamaa yake yote na kuwaweka mahali nje ya kambi ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wale vijana wapelelezi wakaenda; wakamleta Rahabu, baba yake na mama yake, ndugu zake na watu wote wa jamaa yake, wakawaweka nje ya kambi ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wale wapelelezi vijana walipoingia mwake, wakamtoa Rahabu na baba yake na mama yake na ndugu zake nao wote waliokuwa kwake, nao wote wa ukoo wake wakawatoa, wakawaweka mahali palipokuwa nje ya makambi ya Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya matuo ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wale vijana wapelelezi wakaenda; wakamuleta Rahabu, baba yake na mama yake, wandugu zake na watu wote wa jamaa yake, wakawaweka inje ya kambi ya Israeli.