Joshua 6:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Yoshua, na sifa zake zikaenea katika nchi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana alikuwa pamoja na Yoshua; sifa zake zikaenea katika nchi ile yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo BWANA alikuwa pamoja na Yoshua, na sifa zake zikaenea katika nchi ile yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo bwana alikuwa pamoja na Yoshua, na sifa zake zikaenea katika nchi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA alikuwa pamoja na Yoshua; sifa zake zikaenea katika nchi ile yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akawa naye Yosua, nao uvumi wake ukasikilika katika nchi yote nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA alikuwa pamoja na Yoshua; sifa zake zikaenea katika nchi ile yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea katika inchi yote.