Joshua 6:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akawaambia watu, “Nendeni mbele; uzungukeni mji, nao watu wenye silaha waende mbele ya sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkauzunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawaambia watu, Piteni mbele, mkauzunguke mji, na hao watu wenye silaha na watangulie mbele ya sanduku la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akawaambia watu, “Nendeni mbele; uzungukeni mji, nao watu wenye silaha waende mbele ya sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkazunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akawaagiza watu, “Songeni mbele! Mkauzunguke mji, na walinzi wenye silaha watangulie mbele ya Sanduku la bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawaambia watu, Piteni mbele, mkauzunguke mji, na hao watu wenye silaha na watangulie mbele ya sanduku la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akawaambia watu, “Nendeni mbele; uzungukeni mji, nao watu wenye silaha waende mbele ya sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu akawaambia: Nendeni kuuzunguka mji huu wote! Nao wenye mata na walitangulie Sanduku la Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawaambia watu, Piteni mbele, mkauzunguke mji, na hao watu wenye silaha na watangulie mbele ya sanduku la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akawaambia watu: “Mupite mbele, muzunguke muji, nao watu wenye silaha waende mbele ya Sanduku la Agano la Yawe.”