Joshua 6:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walinzi waliokuwa na silaha wakaenda mbele ya hao makuhani waliopiga hizo baragumu na hao walinzi wa nyuma wakafuata Sanduku. Wakati wote huu baragumu zilikuwa zikipigwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliozipiga tarumbeta, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakizipiga tarumbeta walipokuwa wakienda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walinzi waliokuwa na silaha wakaenda mbele ya hao makuhani waliopiga hizo baragumu na hao walinzi wa nyuma waliokuwa nyuma wakafuata Sanduku. Wakati wote huu baragumu zilikuwa zikipigwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walinzi waliokuwa na silaha wakaenda mbele ya hao makuhani waliopiga hizo baragumu na hao walinzi wa nyuma wakafuata Sanduku. Wakati wote huu baragumu zilikuwa zikipigwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliopiga mabaragumu, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakipiga mabaragumu walipokuwa wakienda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya sanduku hilo, huku mabaragumu yakilia kwa mfululizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenye mata walikwenda mbele ya watambikaji waliopiga mabaragumu, nao wafuasi wa nyuma walikwenda nyuma ya Sanduku hilo, wote walikuwa wanakwenda, mabaragumu yakilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale watu wenye silaha walikwenda mbele ya hao makuhani waliozipiga tarumbeta, na wale waliokuwa nyuma wakalifuata hilo sanduku; makuhani wakizipiga tarumbeta walipokuwa wakienda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watu wenye silaha wakawatangulia wale makuhani ambao walikuwa wanapiga mabaragumu, na walinzi wengine wakifuata nyuma ya Sanduku hilo, nayo mabaragumu yakilia kwa mufululizo.