Joshua 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini ukilala kifudifudi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifudi hivi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini hapo chini kifudifudi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini hapo chini kifudifudi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifudi hivi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomwambia Yosua; Inuka! Ni kwa sababu gani, ukianguka usoni pako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifudi hivi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Yoshua: “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo?