Joshua 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, msifu na kisha uniambie yale uliyotenda, wala usinifiche.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, nawe ukiri kwake. Niambie ni nini ulichotenda; usinifiche.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akamwambia Akani, Mwanangu, nakusihi, umtukuze Bwana, Mungu wa Israeli, ukaungame kwake; uniambie sasa ulilolitenda; usinifiche.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, msifu na kisha uniambie yale uliyotenda, wala usinifiche.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, umpe BWANA utukufu, Mungu wa Israeli, nawe ukiri kwake. Niambie ni nini ulichotenda, wala usinifiche.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze bwana, Mungu wa Israeli, nawe ukiri kwake. Niambie ni nini ulichotenda; usinifiche.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akamwambia Akani, Mwanangu, nakusihi, umtukuze BWANA, Mungu wa Israeli, ukaungame kwake; uniambie sasa ulilolitenda; usinifiche.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akamwambia Akani, “Mwanangu, mtukuze Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, msifu na kisha uniambie yale uliyotenda, wala usinifiche.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipomwambia Akani: Manangu, mche Bwana Mungu wa Isiraeli na kumtukuza, ukimwungamia waziwazi! Nielezee uliyoyafanya, usiyafiche!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akamwambia Akani, Mwanangu, nakusihi, umtukuze BWANA, Mungu wa Israeli, ukaungame kwake; uniambie sasa ulilolitenda; usinifiche.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akamwambia Akana: “Mwana wangu, umutukuze Yawe, Mungu wa Israeli, umusifu na kisha uniambie yale uliyotenda, wala usinifiche.”