Joshua 7:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akani akamjibu Yoshua, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akani akamjibu Yoshua, akasema, Kweli nimefanya dhambi juu ya Bwana, Mungu wa Israeli, nami nimefanya mambo haya na haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akani akamjibu, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya BWANA, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akani akamjibu Yoshua, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya bwana, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akani akamjibu Yoshua, akasema, Kweli nimefanya dhambi juu ya BWANA, Mungu wa Israeli, nami nimefanya mambo haya na haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akani akamjibu Yosua na kumwambia: Kweli, mimi nimemkosea Bwana Mungu wa Isiraeli nikifanya hivi na hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akani akamjibu Yoshua, akasema, Kweli nimefanya dhambi juu ya BWANA, Mungu wa Israeli, nami nimefanya mambo haya na haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akana akamujibu: “Ni kweli nimetenda zambi mbele ya Yawe, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya: