Joshua 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakapanda kama wanaume elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na wanaume wa Ai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wakaenda huko wapata elfu tatu tu; nao wakakimbia mbele ya watu wa Ai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakapanda kama watu elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na watu wa Ai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakapanda kama watu elfu tatu tu, lakini wakashambuliwa na watu wa Ai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wakaenda huko wapata elfu tatu tu; nao wakakimbizwa na wakazi wa mji wa Ai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia mji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakazi wa mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha walipopanda kama watu 3000 kwenda huko, wakawakimbia watu wa Ai,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wakaenda huko wapata elfu tatu tu; nao wakakimbia mbele ya watu wa Ai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu kama elfu tatu hivi wakaenda kuushambulia muji wa Ai, lakini wakakimbizwa na wakaaji wa muji huo.