Joshua 7:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, niseme nini hali Waisraeli wamewakimbia adui zao?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, niseme nini sasa, ikiwa sasa Israeli ameshafukuzwa na adui zake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, niseme nini baada ya Israeli kuwapa visogo adui zao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, niseme nini hali Waisraeli wamewakimbia adui zao?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, niseme nini sasa, ikiwa sasa Israeli ameshafukuzwa na adui zake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, niseme nini sasa, ikiwa sasa Israeli ameshafukuzwa na adui zake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, niseme nini baada ya Israeli kuwapa visogo adui zao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, niseme nini hali Waisraeli wamewakimbia adui zao?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
E Bwana! Nisemeje, kwa kuwa Waisiraeli wamewapa adui zao visogo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, niseme nini baada ya Israeli kuwapa visogo adui zao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, niseme nini wakati Waisraeli wamewakimbia waadui zao?