Joshua 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo akachukua watu wengine 5,000 na kuwaweka wavizie kati ya mji wa Betheli na Ai, magharibi ya mji wa Ai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua alikuwa amewachukua watu wapatao elfu tano, akawaweka mafichoni kusubiri kushambulia, kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akatwaa watu kama elfu tano, akawaweka kuotea kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa huo mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo akachukua watu wengine 5,000 na kuwaweka wavizie kati ya mji wa Betheli na Ai, magharibi ya mji wa Ai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua alikuwa amewachukua watu wapatao elfu tano, akawaweka mafichoni kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua alikuwa amewachukua watu wapatao elfu tano, akawaweka katika uavizi kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akatwaa watu kama elfu tano, akawaweka kuotea kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa huo mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo akachukua watu wengine 5,000 na kuwaweka wavizie kati ya mji wa Betheli na Ai, magharibi ya mji wa Ai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akachukua kama watu 5000, akawaweka pa kuvizia katikati ya Beteli na Ai upande wa baharini wa mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akatwaa watu kama elfu tano, akawaweka kuotea kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa huo mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akatwaa watu wengine elfu tano na kuwaweka wavizie kati ya muji wa Beteli na Ai, upande wa magaribi wa muji wa Ai.