Joshua 8:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yoshua pamoja na watu wake wakajifanya kana kwamba wanashindwa, wakaanza kukimbia kuelekea jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua na Waisraeli wote wakaruhusu kurudishwa nyuma mbele yao, na kuelekea jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua na watu wa Israeli wote walifanya kana kwamba wameshindwa mbele yao, wakakimbia kwa njia ya nyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yoshua pamoja na watu wake wakajifanya kana kwamba wanashindwa, wakaanza kukimbia kuelekea jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua na Israeli wote wakaruhusu kurudishwa nyuma mbele yao, wakakimbia kuelekea jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua na Israeli wote wakaruhusu kurudishwa nyuma mbele yao, na kuelekea jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua na watu wa Israeli wote walifanya kana kwamba wameshindwa mbele yao, wakakimbia kwa njia ya nyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yoshua pamoja na watu wake wakajifanya kana kwamba wanashindwa, wakaanza kukimbia kuelekea jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua na Waisiraeli wote walipojifanya kuwa kama watu waliopigwa nao, wakakimbia na kushika njia ya kwenda nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua na watu wa Israeli wote walifanya kana kwamba wameshindwa mbele yao, wakakimbia kwa njia ya nyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yoshua pamoja na watu wake wakajifanya sawa wenye kushindwa, wakaanza kukimbia kuelekea katika jangwa.