Joshua 8:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliokuwa mjini waliitwa wawafuatie Waisraeli; na walipokuwa wanamfuatia Yoshua, walitoka na kwenda mbali na mji wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote wa Ai wakaitwa ili kuwafuatia, nao wakavutwa kumfuatia Yoshua mbali na mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wote waliokuwa ndani ya mji waliitwa wakusanyike pamoja ili kuwafuatia; nao wakamfuatia Yoshua, wakasongea mbele na kuuacha mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliokuwa mjini waliitwa wawafuatie Waisraeli; na walipokuwa wanamfuatia Yoshua, walitoka na kwenda mbali na mji wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wa Ai wakaitwa ili kuwafuatia, nao wakavutwa kumfuatia Yoshua mbali na mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wa Ai wakaitwa ili kuwafuatia, nao wakavutwa kumfuatia Yoshua mbali na mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote waliokuwa ndani ya mji waliitwa wakusanyike pamoja ili kuwafuatia; nao wakamfuatia Yoshua, wakasogea mbele na kuuacha mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliokuwa mjini waliitwa wawafuatie Waisraeli; na walipokuwa wanamfuatia Yoshua, walitoka na kwenda mbali na mji wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wale waliokuwamo mjini wakaitana kwenda kuwakimbiza, nao walipomkimbiza Yosua wakajitenga na mji wa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wote waliokuwa ndani ya mji waliitwa wakusanyike pamoja ili kuwafuatia; nao wakamfuatia Yoshua, wakasongea mbele na kuuacha mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliokuwa katika muji wakaitwa wawafuatilie Waisraeli; na walipokuwa wanamufuatilia Yoshua, walitoka na kwenda mbali na muji wao.