Joshua 8:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua na Waisraeli wote walipoona kuwa kikosi kilichokuwa kinavizia kimeuteka mji, na kwamba moshi ulikuwa unapanda juu, waliwageukia na kuanza kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yoshua na Waisraeli wote walipoona kwamba waviziaji wameshauteka mji na moshi ulikuwa unapaa juu kwenye mji, wakawageukia wanaume wa Ai na kuwashambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hapo Yoshua na Israeli wote walipoona ya kwamba hao waliovizia wamekwisha kuushika huo mji, na ya kwamba moshi wa mji umepaa juu, ndipo wakageuka tena, na kuwaua watu wa Ai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua na Waisraeli wote walipoona kuwa kikosi kilichokuwa kinavizia kimeuteka mji, na kwamba moshi ulikuwa unapanda juu, waliwageukia na kuanza kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yoshua na Israeli wote walipoona kwamba waviziaji wameshauteka mji na moshi ulikuwa unapaa juu kutoka kwenye mji, wakawageukia watu wa Ai na kuwashambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yoshua na Israeli wote walipoona kwamba waviziaji wameshauteka mji na moshi ulikuwa unapaa juu kutoka kwenye mji, wakawageukia watu wa Ai na kuwashambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hapo Yoshua na Israeli wote walipoona ya kwamba hao waliovizia wamekwisha kuushika huo mji, na ya kwamba moshi wa mji umepaa juu, ndipo wakageuka tena, na kuwaua watu wa Ai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua na Waisraeli wote walipoona kuwa kikosi kilichokuwa kinavizia kimeuteka mji, na kwamba moshi ulikuwa unapanda juu, waliwageukia na kuanza kuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua na Waisiraeli wote walipoona, ya kuwa waviziaji wameuteka mji, kwa kuwa moshi wa mjini ulipanda juu, nao wakarudi, wakawapiga watu wa Ai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hapo Yoshua na Israeli wote walipoona ya kwamba hao waliovizia wamekwisha kuushika huo mji, na ya kwamba moshi wa mji umepaa juu, ndipo wakageuka tena, na kuwaua watu wa Ai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua na Waisraeli wote walipoona kwamba kundi lililokuwa linavizia limeuteka muji, na kwamba moshi ulikuwa unapanda juu, waliwageukia na kuanza kuwaua.