Joshua 8:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mfalme wa mji wa Ai walimteka akiwa hai na kumpeleka kwa Yoshua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wakamchukua mfalme wa Ai akiwa hai na kumleta kwa Yoshua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakamshika mfalme wa Ai ali hai, nao wakamleta kwa Yoshua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mfalme wa mji wa Ai walimteka akiwa hai na kumpeleka kwa Yoshua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakamchukua mfalme wa Ai akiwa hai na kumleta kwa Yoshua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakamchukua mfalme wa Ai akiwa hai na kumleta kwa Yoshua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakamshika mfalme wa Ai akiwa hai, nao wakamleta kwa Yoshua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mfalme wa mji wa Ai walimteka akiwa hai na kumpeleka kwa Yoshua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfalme wa Ai wakamkamata, yu hai, wakampeleka kwake Yosua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakamshika mfalme wa Ai ali hai, nao wakamleta kwa Yoshua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa muji wa Ai walimuteka akiwa muzima na kumupeleka kwa Yoshua.