Joshua 8:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume na wanawake elfu kumi na mbili waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote walioanguka siku hiyo waume kwa wake, walikuwa ni kumi na mbili elfu, yaani, watu wote wa mji wa Ai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu kumi na mbili elfu, waume kwa wake, waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu kumi na mbili elfu, waume kwa wake, waliangamia siku ile, yaani watu wote wa Ai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote walioanguka siku hiyo wanaume kwa wanawake, walikuwa ni elfu kumi na mbili, yaani, watu wote wa mji wa Ai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume kwa wanawake, walikuwa 12,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote waliouawa siku hiyo, waume kwa wake, walikuwa 12000, ndio watu wote wa Ai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote walioanguka siku hiyo waume kwa wake, walikuwa ni kumi na mbili elfu, yaani, watu wote wa mji wa Ai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya watu wa Ai waliouawa siku hiyo, wanaume na wanawake, walikuwa elfu kumi na mbili.