Joshua 8:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua hakuushusha mkono wake aliokuwa ameushikilia mkuki wake kuelekea Ai mpaka alipowaua wakazi wote wa mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Yoshua hakuurudisha ule mkono wake uliokuwa umeuinua mkuki hadi alipomaliza kuwaangamiza wote walioishi Ai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani huyo Yoshua hakuuzuia mkono wake, huo ulionyosha huo mkuki, hata hapo alipokuwa amewaangamiza kabisa wenyeji wote wa Ai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua hakuushusha mkono wake aliokuwa ameushikilia mkuki wake kuelekea Ai mpaka alipowaua wakazi wote wa mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Yoshua hakuurudisha ule mkono wake uliokuwa ameinua mkuki hadi alipomaliza kuwaangamiza wote walioishi huko Ai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Yoshua hakuurudisha ule mkono wake uliokuwa umeuinua mkuki hadi alipomaliza kuwaangamiza wote walioishi Ai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani huyo Yoshua hakuuzuia mkono wake, huo ulionyosha huo mkuki, hadi hapo alipokuwa amewaangamiza kabisa wenyeji wote wa Ai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua hakuushusha mkono wake aliokuwa ameushikilia mkuki wake kuelekea Ai mpaka alipowaua wakazi wote wa mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yosua hakuurudisha mkono wake ulioshika mkuki, mpaka akiwaangamiza kabisa wenyeji wa Ai wote pia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani huyo Yoshua hakuuzuia mkono wake, huo ulionyosha huo mkuki, hata hapo alipokuwa amewaangamiza kabisa wenyeji wote wa Ai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua hakuushusha mukono wake aliokuwa akishikilia nao mukuki wake kuelekea Ai mpaka alipowaua wakaaji wote wa muji huo.