Joshua 8:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwamuru Yoshua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isipokuwa wanyama wa mji na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la Bwana alilomwamuru Yoshua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile BWANA alivyokuwa amemwagiza Yoshua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile bwana alivyokuwa amemwagiza Yoshua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isipokuwa mifugo na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la BWANA alilomwamuru Yoshua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nyama wa kufuga tu na vitu, Waisiraeli walivyoviteka humo mjini, wakajichukulia kwa lile neno la Bwana, alilomwagiza Yosua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isipokuwa wanyama wa mji na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la BWANA alilomwamuru Yoshua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli waliteka tu nyama na mali kama vile Yawe alivyomwamuru Yoshua.