Joshua 8:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua aliuteketeza mji wa Ai kwa moto na kuufanya magofu hadi hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Yoshua akauchoma moto mji wa Ai na kuufanya kuwa lundo la magofu la kudumu, mahali pa ukiwa hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akaupiga moto mji wa Ai, na kuufanya kuwa ni chungu ya magofu hata milele, kuwa ni ukiwa hata siku hii ya leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua aliuteketeza mji wa Ai kwa moto na kuufanya magofu hadi hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yoshua akauchoma moto mji wa Ai na kuufanya kuwa rundo la kudumu la magofu, mahali pa ukiwa hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Yoshua akauchoma moto mji wa Ai na kuufanya kuwa lundo la magofu la kudumu, mahali pa ukiwa hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akauteketeza mji wa Ai, na kuufanya kuwa ni rundo la magofu hata milele, kuwa ni ukiwa hata siku hii ya leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua aliuteketeza mji wa Ai kwa moto na kuufanya magofu hadi hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua akauteketeza mji wa Ai, akaugeuza kuwa chungu tupu kale na kale mpaka siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akaupiga moto mji wa Ai, na kuufanya kuwa ni chungu ya magofu hata milele, kuwa ni ukiwa hata siku hii ya leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua aliuteketeza muji wa Ai kwa moto na kuufanya mabomoko mpaka hivi leo.