Joshua 8:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, katika Mlima Ebali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa Bwana, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya BWANA, Mungu wa Israeli, katika Mlima wa Ebali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya bwana, Mungu wa Israeli, katika Mlima wa Ebali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa BWANA, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua akajenga juu ya mlima wa Ebali pa kumtambikia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa BWANA, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yoshua akamujengea Yawe, Mungu wa Israeli, mazabahu juu ya mulima Ebali,