Joshua 8:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na huko, mbele ya umati wote wa Waisraeli, Yoshua aliandika nakala ya sheria ya Mose juu ya mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pale mbele ya Waisraeli, Yoshua akanakili juu ya hayo mawe Torati ya Musa, aliyokuwa ameiandika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaandika huko juu ya mawe hayo nakala ya torati ya Musa, aliyoiandika mbele ya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na huko, mbele ya umati wote wa Waisraeli, Yoshua aliandika nakala ya sheria ya Mose juu ya mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko, mbele ya Waisraeli wote, Yoshua akanakili juu ya hayo mawe sheria ya Mose, aliyokuwa ameiandika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pale mbele ya Waisraeli, Yoshua akanakili juu ya hayo mawe Torati ya Musa, aliyokuwa ameiandika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaandika huko juu ya mawe hayo nakala ya Torati ya Musa, aliyoiandika mbele ya wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na huko, mbele ya umati wote wa Waisraeli, Yoshua aliandika nakala ya sheria ya Mose juu ya mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaandika hapo penye yale mawe mwandiko wa pili wa Maonyo ya Mose, aliouandika machoni pa wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaandika huko juu ya mawe hayo nakala ya torati ya Musa, aliyoiandika mbele ya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kule, mbele ya Waisraeli wote, Yoshua aliandika mufano wa sheria ya Musa juu ya mawe.