Joshua 8:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna neno lililoamriwa na Mose ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya umati wa Waisraeli, wakiwemo miongoni mwao wanawake, watoto na wageni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna neno lolote katika yale yote ambayo Musa alikuwa ameamuru ambalo Yoshua hakuwasomea kusanyiko lote la Waisraeli, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto, na wageni walioishi miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapakuwa na hata neno moja katika hayo aliyoamuru Musa, ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya kusanyiko lote la Israeli, na mbele ya wanawake, na watoto, na wageni waliokaa nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna neno lililoamriwa na Mose ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya umati wa Waisraeli, wakiwemo miongoni mwao wanawake, watoto na wageni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna neno lo lote katika yale yote ambayo Mose alikuwa ameamuru ambalo Yoshua hakulisomea kusanyiko lote la Israeli, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto, na wageni walioishi miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna neno lolote katika yale yote ambayo Musa alikuwa ameamuru ambalo Yoshua hakulisomea kusanyiko lote la Israeli, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto, na wageni walioishi miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapakuwa na hata neno moja katika hayo aliyoamuru Musa, ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya kusanyiko lote la Waisraeli, na mbele ya wanawake, na watoto, na wageni waliokaa nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna neno lililoamriwa na Mose ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya umati wa Waisraeli, wakiwemo miongoni mwao wanawake, watoto na wageni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika yale yote, Mose aliyoyaagiza, halikuwamo hata moja, Yosua asilolisoma masikioni pa mkutano wa Waisiraeli wote, wakiwa pamoja na wanawake na wana wa wageni waliokwenda kukaa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapakuwa na hata neno moja katika hayo aliyoamuru Musa, ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya kusanyiko lote la Israeli, na mbele ya wanawake, na watoto, na wageni waliokaa nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna neno lililoamriwa na Musa ambalo Yoshua hakulisoma mbele ya Waisraeli, kati yao kukiwa wanawake, watoto na wageni.