Joshua 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaamuru hivi: “Nyinyi mtauvizia mji kutoka upande wa nyuma. Msiende mbali na mji, bali muwe tayari wakati wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akiwaagiza: “Sikilizeni kwa makini. Mtavizia nyuma ya mji. Msiende mbali sana na mji. Wote kuweni macho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaagiza, akasema, Angalieni, mtaotea kuuvizia ule mji, upande wa nyuma wa mji; msiende mbali sana na mji, lakini kaeni tayari nyote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaamuru hivi: “Nyinyi mtauvizia mji kutoka upande wa nyuma. Msiende mbali na mji, bali muwe tayari wakati wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akiwaagiza: “Sikilizeni kwa makini. Mtavizia nyuma ya mji. Msiende mbali sana na mji. Wote iweni macho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akiwaagiza: “Sikilizeni kwa makini. Mtavizia nyuma ya mji. Msiende mbali sana na mji. Wote kuweni macho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaagiza, akasema, Angalieni, mtaotea kuuvizia ule mji, upande wa nyuma wa mji; msiende mbali sana na mji, lakini kaeni tayari nyote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaamuru hivi: “Nyinyi mtauvizia mji kutoka upande wa nyuma. Msiende mbali na mji, bali muwe tayari wakati wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
alipokwisha kuwaagiza kwamba: Tazameni, ndivyo mwuvizie huu mji upande wa nyuma ya mji! msiupite mji kwenda mbali sana, nyote mpata kuwa tayari!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaagiza, akasema, Angalieni, mtaotea kuuvizia ule mji, upande wa nyuma wa mji; msiende mbali sana na mji, lakini kaeni tayari nyote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaamuru hivi: “Ninyi mutauvizia muji kutoka upande wa nyuma. Musiende mbali na muji, lakini mukuwe tayari wakati wote.