Joshua 8:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi, pamoja na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji. Watu watakapotoka nje kuja kutukabili kama hapo awali, sisi tutawakimbia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi na watu walio pamoja nami tutaukabili mji, kisha itakuwa hapo watu watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo awali, sisi tutawakimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mimi, na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji; kisha itakuwa, hapo watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo kwanza, sisi tutakimbia mbele yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi, pamoja na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji. Watu watakapotoka nje kuja kutukabili kama hapo awali, sisi tutawakimbia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi na watu walio pamoja nami, tutaukabili mji, kisha itakuwa hapo watu watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo kwanza, sisi tutawakimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi na watu walio pamoja nami, tutaukabili mji, kisha itakuwa hapo watu watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo kwanza, sisi tutawakimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mimi, na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji; kisha itakuwa, hapo watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo kwanza, sisi tutakimbia mbele yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi, pamoja na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji. Watu watakapotoka nje kuja kutukabili kama hapo awali, sisi tutawakimbia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami pamoja na watu wote walio kwangu tutaukaribia mji. Tena watakapotoka, watujie kama ile mara ya kwanza, tutakimbia mbele yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mimi, na watu wote walio pamoja nami, tutaukaribia mji; kisha itakuwa, hapo watakapotoka nje kupigana nasi, kama walivyofanya hapo kwanza, sisi tutakimbia mbele yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi, pamoja na watu wote wanaokuwa pamoja nami, tutaukaribia muji. Watakapotoka inje kuja kutushambulia kama pale mbele, sisi tutawakimbia.