Joshua 8:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wataendelea kutufuatia mpaka wawe mbali na mji wao, maana watafikiri wametutimua kama walivyofanya hapo awali. Sisi tutawaacha watufukuze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watatufuatilia hadi tutakapokuwa tumewavuta mbali na mji kwa kuwa watasema, ‘Wanatukimbia, kama walivyofanya hapo awali.’ Hivyo tutakapowakimbia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watatoka nje watufuate, hata tuwavute waende mbali na mji wao; kwa kuwa watasema, Wakimbia mbele yetu, kama walivyofanya kwanza; nasi tutakimbia mbele yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wataendelea kutufuatia mpaka wawe mbali na mji wao, maana watafikiri wametutimua kama walivyofanya hapo awali. Sisi tutawaacha watufukuze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watatufuatilia mpaka tutakapokuwa tumewavuta waende mbali na mji, kwa kuwa watasema, ‘Wanatukimbia, kama walivyofanya hapo awali.’ Hivyo tutakapowakimbia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watatufuatilia mpaka tutakapokuwa tumewavuta mbali na mji kwa kuwa watasema, ‘Wanatukimbia, kama walivyofanya hapo awali.’ Hivyo tutakapowakimbia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watatoka nje watufuate, hadi tuwavute waende mbali na mji wao; kwa kuwa watasema, Wakimbia mbele yetu, kama walivyofanya kwanza; nasi tutakimbia mbele yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wataendelea kutufuatia mpaka wawe mbali na mji wao, maana watafikiri wametutimua kama walivyofanya hapo awali. Sisi tutawaacha watufukuze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapotoka, watufuate, mpaka tuishe kuwafungia njia ya kurudia mjini, kwani watasema: Wanatukimbia kama mara ya kwanza; nasi tunataka kweli kuwakimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watatoka nje watufuate, hata tuwavute waende mbali na mji wao; kwa kuwa watasema, Wakimbia mbele yetu, kama walivyofanya kwanza; nasi tutakimbia mbele yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wataendelea kutufuatilia mpaka wakuwe mbali na muji wao, maana watafikiri kwamba wanatukimbiza kama vile walivyofanya mbele. Sisi tutawaacha watufukuze.