Joshua 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, nyinyi mtatokea kutoka huko mlikokuwa mnavizia na kuuteka mji, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atautia mji huo mikononi mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ninyi mtainuka mtoke mafichoni na kuuteka mji. Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atautia mkononi mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi ninyi mtainuka mtoke hapo mwoteapo, na kuushika mji; kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, atautia mikononi mwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, nyinyi mtatokea kutoka huko mlikokuwa mnavizia na kuuteka mji, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atautia mji huo mikononi mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ninyi inawapasa mwinuke mtoke huko mafichoni na kuuteka mji. BWANA Mungu wenu atautia mkononi mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ninyi inawapasa mwinuke mtoke huko mafichoni na kuuteka mji. bwana Mwenyezi Mungu wenu atautia mkononi mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi ninyi mtainuka mtoke hapo mwoteapo, na kuushika mji; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, atautia mikononi mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, nyinyi mtatokea kutoka huko mlikokuwa mnavizia na kuuteka mji, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atautia mji huo mikononi mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, ninyi mtakapoondoka hapo pa kuvizia, mwuteke mji, kwani Bwana Mungu wenu amaeutia mikononi mwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi ninyi mtainuka mtoke hapo mwoteapo, na kuushika mji; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, atautia mikononi mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo, ninyi mutatokea kutoka kule mulikokuwa munavizia na kuuteka muji, maana Yawe, Mungu wenu, atautia muji huo katika mikono yenu.