Joshua 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama mikate yetu ambayo ilikuwa bado moto tulipoichukua wakati tulipoondoka kwetu, lakini sasa imekauka na kuota ukungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkate huu wetu ulikuwa wa moto tulipoufunga siku tulipoanza safari kuja kwenu, lakini sasa angalia jinsi ulivyokauka na kuota ukungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu mkate wetu tuliutwaa ukali moto katika nyumba zetu, siku hiyo tuliyotoka kuja kwenu, uwe chakula chetu; lakini sasa, tazama, umekauka, na kuingia koga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama mikate yetu ambayo ilikuwa bado moto tulipoichukua wakati tulipoondoka kwetu, lakini sasa imekauka na kuota ukungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkate huu ulikuwa wa moto tulipoufunga siku tulipoanza safari kuja kwenu, lakini sasa angalia jinsi ulivyokauka na kuota ukungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkate huu wetu ulikuwa wa moto tulipoufunga siku tulipoanza safari kuja kwenu, lakini sasa angalia jinsi ulivyokauka na kuota ukungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu mkate wetu tuliutwaa ukiwa bado moto katika nyumba zetu, siku hiyo tuliyotoka kuja kwenu, uwe chakula chetu; lakini sasa, tazama, umekauka, na kuingia ukungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama mikate yetu ambayo ilikuwa bado moto tulipoichukua wakati tulipoondoka kwetu, lakini sasa imekauka na kuota ukungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii mikate yetu ilikuwa yenye moto, tulipoichukua nyumbani mwetu kuwa pamba zetu siku hiyo, tulipotoka kwetu kwenda kwenu; sasa itazame, ni mikavu yenye ukungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu mkate wetu tuliutwaa ukali moto katika nyumba zetu, siku hiyo tuliyotoka kuja kwenu, uwe chakula chetu; lakini sasa, tazama, umekauka, na kuingia koga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia mikate yetu ambayo ilikuwa bado moto tulipoibeba wakati tulipoondoka kwetu, lakini sasa imekauka na kuota manyoya.