Joshua 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Waisraeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao watu wakatwaa katika vyakula vyao, wala wasitake shauri kinywani mwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi watu wa Israeli wakapokea vyakula vyao na kuvikagua bila kutaka shauri kutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakuu hao wakatwaa katika vyakula vyao, wala wasitake shauri kinywani mwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Waisraeli wakachukua vyakula vyao, bila ya kumwuliza shauri Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wale watu wa Kiisiraeli walipoonja pamba zao, lakini kinywa cha Bwana hawakukiuliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao watu wakatwaa katika vyakula vyao, wala wasitake shauri kinywani mwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Waisraeli wakatwaa vyakula vyao, bila kumwuliza Yawe shauri.