Joshua 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku tatu baada ya kufanya agano nao, Waisraeli wakagundua kwamba watu hao walikuwa jirani zao na waliishi miongoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya tatu baada ya kufanya mkataba na Wagibeoni, Waisraeli wakapata habari kuwa watu hao ni majirani zao, walioishi karibu nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ikawa, mwisho wa siku ya tatu baada ya kufanya hilo agano nao, walisikia habari ya kuwa watu hao ni jirani zao, na ya kwamba waliketi kati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku tatu baada ya kufanya agano nao, Waisraeli wakagundua kwamba watu hao walikuwa jirani zao na waliishi miongoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya tatu baada ya kufanya mapatano na Wagibeoni, Waisraeli wakapata habari kuwa hao watu ni jirani zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya tatu baada ya hao kufanya mapatano na Wagibeoni, Waisraeli wakapata habari kuwa hao watu ni jirani zao waliokuwa wanaishi karibu nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ikawa, mwisho wa siku ya tatu baada ya kufanya hilo agano nao, walisikia habari ya kuwa watu hao ni jirani zao, na ya kwamba waliketi kati yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku tatu baada ya kufanya agano nao, Waisraeli wakagundua kwamba watu hao walikuwa jirani zao na waliishi miongoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku tatu zilipopita walipokwisha kufanya hayo maagano nao, wakasikia, ya kuwa wale wanakaa karibu katika nchi iyo hiyo, waliyoikaa wenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ikawa, mwisho wa siku ya tatu baada ya kufanya hilo agano nao, walisikia habari ya kuwa watu hao ni jirani zao, na ya kwamba waliketi kati yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku tatu nyuma ya kufanya agano nao, Waisraeli wakagundua kwamba watu hao walikuwa jirani zao na waliishi kati yao.