Joshua 9:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa jumuiya ya Israeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, jumuiya yote ikawanungunikia viongozi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Waisraeli hawakuwashambulia kwa kuwa viongozi wa kusanyiko walikuwa wamewaapia kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Kusanyiko lote wakanung’unika dhidi ya hao viongozi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli hawakuwapiga, kwa sababu wakuu wa mkutano walikuwa wamekwisha kuwaapia kwa Bwana, Mungu wa Israeli. Nao mkutano wote wakawanung'unikia hao wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa jumuiya ya Israeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, jumuiya yote ikawanung'unikia viongozi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Waisraeli hawakuwashambulia kwa kuwa viongozi wa kusanyiko walikuwa wamewaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Kusanyiko lote likanung'unika dhidi ya hao viongozi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Waisraeli hawakuwashambulia kwa kuwa viongozi wa kusanyiko walikuwa wamewaapia kwa bwana, Mungu wa Israeli. Kusanyiko lote likanung’unika dhidi ya hao viongozi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli hawakuwapiga, kwa sababu wakuu wa mkutano walikuwa wamekwisha kuwaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Nao mkutano wote wakawanung'unikia hao wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa jumuiya ya Israeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, jumuiya yote ikawanungunikia viongozi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wana wa Isiraeli hawakuwaua, kwa kuwa wakuu wa mkutano waliwaapia na kumtaja Bwana Mungu wa Isiraeli. Wao wa mkutano wote walipowanung'unikia wakuu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli hawakuwapiga, kwa sababu wakuu wa mkutano walikuwa wamekwisha kuwaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Nao mkutano wote wakawanung’unikia hao wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli hawakuwaua, maana viongozi wa Waisraeli walikuwa wamewaapia kwa jina la Yawe, Mungu wa Israeli. Hivyo basi, Waisraeli wote wakawanungunikia viongozi wao.