Joshua 9:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini viongozi wa Waisraeli wakaiambia jumuiya ya watu wao, “Kwa vile tumewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, sasa hatuwezi kuwadhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini viongozi wote wakawajibu, “Tumeshawaapia kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kwa hiyo hatuwezi kuwagusa sasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wakuu wote waliwaambia mkutano wote, Sisi tumewaapia kwa Bwana, Mungu wa Israeli; basi sasa hatuwezi kuwagusa watu hawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini viongozi wa Waisraeli wakaiambia jumuiya ya watu wao, “Kwa vile tumewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, sasa hatuwezi kuwadhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini viongozi wote wakawajibu, “Tumeshawaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli, kwa hiyo hatuwezi kuwagusa sasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini viongozi wote wakawajibu, “Tumeshawaapia kwa bwana, Mungu wa Israeli, kwa hiyo hatuwezi kuwagusa sasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wakuu wote waliwaambia mkutano wote, Sisi tumewaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli; basi sasa hatuwezi kuwagusa watu hawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini viongozi wa Waisraeli wakaiambia jumuiya ya watu wao, “Kwa vile tumewaapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, sasa hatuwezi kuwadhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakuu wote wakauambia mkutano wote: Sisi tumewaapia na kumtaja Bwana Mungu wa Isiraeli, kwa hiyo sasa hatuwezi kuwagusa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wakuu wote waliwaambia mkutano wote, Sisi tumewaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli; basi sasa hatuwezi kuwagusa watu hawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini viongozi wa Waisraeli wakawaambia watu wao: “Kwa vile tumewaapia kwa jina la Yawe, Mungu wa Israeli, sasa hatuwezi kuwazuru.