Joshua 9:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakakusanyika pamoja kwa nia moja ili kupigana vita na Yoshua na Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliungana ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo walipojikutanisha pamoja wenyewe kwa wenyewe, ili kupigana na Yoshua, na hao Israeli, kwa nia moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakakusanyika pamoja kwa nia moja ili kupigana vita na Yoshua na Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakajiunga pamoja ili kupigana vita dhidi ya Yoshua na Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo walipojikutanisha pamoja wenyewe kwa wenyewe, ili kupigana na Yoshua, na hao Israeli, kwa nia moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakakusanyika pamoja kwa nia moja ili kupigana vita na Yoshua na Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakakusanyika pamoja kwenda kupigana na Yosua nao Waisiraeli, mioyo yao ikawa kama mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo walipojikutanisha pamoja wenyewe kwa wenyewe, ili kupigana na Yoshua, na hao Israeli, kwa nia moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakakusanyika pamoja kwa nia moja kwa kupigana vita na Yoshua na Waisraeli.