Joshua 9:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tutawaacha waishi, ili tusije tukaadhibiwa kwa sababu ya kiapo tulichokula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo tutakavyowafanyia: Tutawaacha waishi, ili ghadhabu isije juu yetu kwa kuvunja kiapo tulichowaapia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tutawafanyia neno hili, kisha tutawaacha wawe hai; hasira isije juu yetu, kwa ajili ya hicho kiapo tulichowaapia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tutawaacha waishi, ili tusije tukaadhibiwa kwa sababu ya kiapo tulichokula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo tutakavyowafanyia: Tutawaacha waishi, ili ghadhabu isije juu yetu kwa kuvunja kiapo tulichowaapia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo tutakavyowafanyia: Tutawaacha waishi, ili ghadhabu isije juu yetu kwa kuvunja kiapo tulichowaapia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tutawafanyia neno hili, kisha tutawaacha wawe hai; hasira isije juu yetu, kwa ajili ya hicho kiapo tulichowaapia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tutawaacha waishi, ili tusije tukaadhibiwa kwa sababu ya kiapo tulichokula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nao tuwafanyie hivyo: tuache kuwaua, makali yasitujie kwa ajili ya hicho kiapo, tulichowaapia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tutawafanyia neno hili, kisha tutawaacha wawe hai; hasira isije juu yetu, kwa ajili ya hicho kiapo tulichowaapia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutawaacha waishi, kusudi tusipate kuazibiwa kwa sababu ya kiapo tulichofanya.