Joshua 9:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa tupo mikononi mwako. Tufanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki kwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende vivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa tupo mikononi mwenu. Tufanyieni lo lote mnaloona kuwa jema na haki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa tupo mikononi mwako. Tufanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki kwako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa tazama, tumo mkononi mwako! Utakapoyaona kuwa mema yanyokayo, basi, tufanyizie kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende vivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa sisi tuko katika mikono yako, ututendee kama unavyoona vema na haki.”