Joshua 9:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuwaua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuuawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuuawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawafanyizia hayo, akawaponya mikononi mwao wana wa Isiraeli, wasiwaue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, jambo Yoshua alilowatendea ni kuwaokoa toka katika mikono ya Waisraeli kusudi wasiwaue.