Joshua 9:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakazi wa Gibeoni walipopata habari juu ya jinsi Yoshua alivyoitenda miji ya Yeriko na Ai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia kuhusu yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wenyeji wa Gibeoni waliposikia habari ya hayo yote Yoshua aliyokuwa amewatenda watu wa Yeriko, na wa Ai,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakazi wa Gibeoni walipopata habari juu ya jinsi Yoshua alivyoitenda miji ya Yeriko na Ai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, watu wa Gibeoni waliposikia juu ya hayo yote Yoshua aliyowatendea watu wa Yeriko na Ai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wenyeji wa Gibeoni waliposikia habari za hayo yote Yoshua aliyokuwa amewatenda watu wa Yeriko, na wa Ai,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakazi wa Gibeoni walipopata habari juu ya jinsi Yoshua alivyoitenda miji ya Yeriko na Ai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenyeji wa Gibeoni walipoyasikia, Yosua aliyoutendea Yeriko na Ai,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wenyeji wa Gibeoni waliposikia habari ya hayo yote Yoshua aliyokuwa amewatenda watu wa Yeriko, na wa Ai,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakaaji wa Gibeoni walipopata habari juu ya jinsi Yoshua alivyoitendea miji ya Yeriko na Ai,