Joshua 9:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliamua kutumia hila. Wakatayarisha vyakula, wakapakiza magunia yaliyochakaa juu ya punda wao, viriba vilivyochakaa na kushonwa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliamua kufanya hila: Wakajifanya kama wajumbe wakiwa na punda waliobebeshwa mizigo ya magunia yaliyochakaa, na viriba vikuukuu vya mvinyo, vyenye nyufa zilizozibwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wao wakatenda kwa hila, nao wakaenda na kujifanya kama ndio wajumbe, wakaenda na magunia makuukuu juu ya punda zao, na viriba vya mvinyo vilivyokuwa vikuukuu vilivyoraruka-raruka, na kutiwa viraka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliamua kutumia hila. Wakatayarisha vyakula, wakapakiza magunia yaliyochakaa juu ya punda wao, viriba vilivyochakaa na kushonwa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao wakaamua kufanya hila: Wakaenda kama wajumbe wakiwa na punda waliobebeshwa mizigo wakiwa na magunia yaliyochakaa na vibuyu vikuukuu vya mvinyo vilivyochakaa, vyenye nyufa zilizozibwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao wakaamua kufanya hila: Wakajifanya kama wajumbe wakiwa na punda waliobebeshwa mizigo wakiwa na magunia yaliyochakaa na viriba vya mvinyo vikuukuu vyenye nyufa zilizozibwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wao wakatenda kwa hila, nao wakaenda na kujifanya kama ndio wajumbe, wakaenda na magunia makuukuu juu ya punda zao, na viriba vya mvinyo vilivyokuwa vikuukuu vilivyorarukararuka, na kutiwa viraka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliamua kutumia hila. Wakatayarisha vyakula, wakapakiza magunia yaliyochakaa juu ya punda wao, viriba vilivyochakaa na kushonwa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wao wakatumia ujanja, wakajifanya kuwa wajumbe, wakawatandika punda wao magunia machakavu, wakachukua viriba vichakavu vya mvinyo vilivyotiwa viraka kwa kupasukapasuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wao wakatenda kwa hila, nao wakaenda na kujifanya kama ndio wajumbe, wakaenda na magunia makuukuu juu ya punda zao, na viriba vya mvinyo vilivyokuwa vikuukuu vilivyoraruka-raruka, na kutiwa viraka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waliamua kutumia werevu. Wakatayarisha vyakula, wakapakiza magunia yaliyochakaa juu ya punda wao, vibuyu vilivyochakaa na kushonwa.