Joshua 9:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walivaa miguuni mwao viatu vilivyoraruka na kushonwa, kisha wakavaa nguo kuukuu. Chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na viatu vilivyotoboka na kushonwa-shonwa katika miguu yao, na mavao makuukuu waliyokuwa wanavaa; tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuingia koga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walivaa viatu vilivyoraruka na kushonwa na nguo kuukuu, chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walivaa miguuni mwao viatu vilivyoraruka na kushonwa kisha wakavaa nguo kuukuu. Chakula chao kilikuwa mkate uliokauka na kuingia koga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na viatu vilivyotoboka na kushonwashonwa katika miguu yao, na mavazi makuukuu tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuota ukungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vikavu vilivyoota ukungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguuni wakavaa viatu vichakavu vilivyoshonwashonwa, miilini wakavaa nguo chakavu, nayo mikate yote ya pamba zao za njiani ilikuwa mikavu yenye ukungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na viatu vilivyotoboka na kushonwa-shonwa katika miguu yao, na mavao makuukuu waliyokuwa wanavaa; tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuingia koga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakavaa viatu, nguo zilizochakaa na vyakula vyao vyote vilikuwa vimekauka na kuota manyoya.