Joshua 9:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waisraeli wakawajibu hao Wahivi, “Tunawezaje kufanya agano nanyi? Labda nyinyi mnaishi karibu nasi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Waisraeli wakawaambia hao Wahivi, “Lakini huenda mnakaa karibu nasi. Twawezaje basi kufanya mkataba nanyi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, Labda mwakaa kati yetu; nasi tutawezaje kufanya agano nanyi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waisraeli wakawajibu hao Wahivi, “Tunawezaje kufanya agano nanyi? Labda nyinyi mnaishi karibu nasi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahiti, “Lakini huenda mnakaa karibu nasi, twawezaje basi kufanya mapatano nanyi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, “Lakini huenda mnakaa karibu nasi, twawezaje basi kufanya mapatano nanyi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, Labda mnakaa kati yetu; nasi tutawezaje kufanya agano nanyi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waisraeli wakawajibu hao Wahivi, “Tunawezaje kufanya agano nanyi? Labda nyinyi mnaishi karibu nasi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli walipowaambia hao Wahiwi: Labda ninyi mnakaa katikati yetu, kwa hiyo tutawezaje kufanya maagano nanyi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wa Israeli wakawaambia hao Wahivi, Labda mwakaa kati yetu; nasi tutawezaje kufanya agano nanyi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waisraeli wakawajibu hao Wahivi: “Tunaweza namna gani kufanya agano nanyi? Labda ninyi munaishi karibu nasi.”