Jude 1:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi wapenzi wangu, kumbukeni yale mliyoambiwa hapo awali na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninyi wapendwa, kumbukeni yale mitume wa Bwana wetu Isa Al-Masihi waliyotabiri awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ninyi, wapenzi, yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Rafiki wapendwa, kumbukeni mambo ambayo mitume wa Bwana Yesu Kristo walisema kuwa yatatokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi wapenzi wangu, kumbukeni yale mliyoambiwa hapo awali ni mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi wapenzi wangu, kumbukeni yale mliyoambiwa hapo awali na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninyi wapenzi, kumbukeni yale Mitume wa Bwana Yesu Kristo waliyotangulia kusema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninyi wapenzi, kumbukeni yale mitume wa Bwana Isa Al-Masihi waliyonena zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ninyi, wapenzi, yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi wapenzi wangu, kumbukeni yale mliyoambiwa hapo awali na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi, wapendwa, myakumbuke maneno yaliyosemwa kale na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ninyi, wapenzi, yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi wapendwa wangu, mukumbuke maneno yaliyosemwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ninyi, wapenzi, yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,