Judges 1:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (mji huu hapo awali uliitwa Kiriath-Seferi).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kutoka hapo akawafuatia wale wenye kukaa Debiri. (Jina la Debiri hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-seferi.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (ambayo hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (mji huu hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kutoka hapo akawafuatia wale wenye kukaa Debiri. (Jina la Debiri hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-seferi.)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia mji wa Debiri; ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotoka huko wakawaendea wenyeji wa Debiri, nalo jina la Debiri kale lilikuwa Kiriati-Seferi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kutoka hapo akawafuatia wale wenye kukaa Debiri. (Jina la Debiri hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Kiriath-seferi.)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kule watu wa kabila la Yuda walikwenda kuushambulia muji wa Debiri; ambao zamani uliitwa Kiriati-Seferi.