Judges 1:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayepigana dhidi ya Kiriath-Seferi na kuuteka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kalebu akasema, “Mtu atakayewashinda Kiriath-Seferi nitamtoa binti yangu Aksa awe mkewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kalebu akasema, “Nitamwoza binti yangu Aksa kwa mtu atakayeweza kupigana na kuteka Kiriath-Seferi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu akatangaza: “Mtu yeyote atakayefaulu kuuteka mji wa Kiriath-seferi, nitamwoza binti yangu Aksa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Kalebu akasema: Atakayepiga Kiriati-Seferi na kuuteka nitampa mtoto wangu Akisa kuwa mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Kalebu alisema, Yeye atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, nitamwoza mwanangu Aksa awe mkewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kalebu akatangaza: “Mutu yeyote atakayeshinda na kuuteka muji wa Kiriati-Seferi, nitamupa binti yangu Akisa kuwa muke wake.”