Judges 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aksa alipowasili kwa Othnieli, akamwambia Othnieli amwombe Kalebu baba yake shamba. Aksa alikuwa amepanda punda na aliposhuka chini baba yake alimwuliza, “Ungependa nikupe nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja Aksa alipokuja kwa Othnieli, alimsihi Othnieli amwombe baba yake, Kalebu, shamba. Aksa aliposhuka kutoka punda wake, Kalebu akamuuliza, “Je, wataka nikufanyie nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Una haja gani utakayo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aksa alipowasili kwa Othnieli, akamwambia Othnieli amwombe Kalebu baba yake shamba. Aksa alikuwa amepanda punda na aliposhuka chini baba yake alimwuliza, “Ungependa nikupe nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aksa alipokuja kwa Othnieli, akamsisitiza amwombe Kalebu baba yake shamba. Aksa aliposhuka kutoka juu ya punda wake, Kalebu akamwuliza, “Je, nikufanyie nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku moja Aksa alipokuja kwa Othnieli, alimsihi Othnieli amwombe baba yake, Kalebu, shamba. Aksa aliposhuka kutoka juu ya punda wake, Kalebu akamuuliza, “Je, wataka nikufanyie nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Una haja gani utakayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aksa alipowasili kwa Othnieli, akamwambia Othnieli amwombe Kalebu baba yake shamba. Aksa alikuwa amepanda punda na aliposhuka chini baba yake alimwuliza, “Ungependa nikupe nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, huyu alipofika kwake akamhimiza mumewe kuomba shamba kwa baba yake Kalebu: basi, Akisa aliposhuka katika punda, Kalebu akamwuliza: Unataka nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Una haja gani utakayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akisa alipofika kwa Otinieli, akamwambia Otinieli amwombe baba yake Kalebu shamba. Akisa alikuwa amepanda juu ya punda na aliposhuka chini baba yake akamwuliza: “Ungependa nikupe nini?”