Judges 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Kabila la Yuda litakwenda kupigana nao kwanza, maana nimeitia nchi hiyo mikononi mwao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akajibu, “Yuda ndiye atakayetangulia; nimewapa hiyo nchi mikononi mwao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema, Yuda atakwea; tazama, nimeitia hiyo nchi mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Kabila la Yuda litakwenda kupigana nao kwanza, maana nimeitia nchi hiyo mikononi mwao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akajibu, “Yuda ndiye atakayetangulia; nimewapa hiyo nchi mikononi mwao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akajibu, “Yuda ndiye atakayetangulia; nimewapa hiyo nchi mikononi mwao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema, Yuda atakwea; tazama, nimeitia hiyo nchi mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Kabila la Yuda litakwenda kupigana nao kwanza, maana nimeitia nchi hiyo mikononi mwao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akasema: Yuda ndiye atakayepanda, nanyi mtaona, ya kuwa nimeitia nchi hii mikononi mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akasema, Yuda atakwea; tazama, nimeitia hiyo nchi mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akawajibu: “Kabila la Yuda litakwenda kupigana nao kwanza, maana nimeitia inchi hiyo katika mikono yao.”