Judges 1:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa makabila ya Yosefu waliushambulia mji wa Betheli, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi nyumba ya Yusufu wakashambulia Betheli, naye Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyumba ya Yusufu nayo, wao nao walikwea kwenda juu ya Betheli; naye Bwana alikuwa pamoja nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa makabila ya Yosefu waliushambulia mji wa Betheli, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi nyumba ya Yosefu wakashambulia Betheli, naye BWANA alikuwa pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi nyumba ya Yusufu wakashambulia Betheli, naye bwana alikuwa pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyumba ya Yusufu nayo, wao nao walikwea kwenda juu ya Betheli; naye BWANA alikuwa pamoja nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa makabila ya Yosefu waliushambulia mji wa Betheli, naye Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wa mlango wa Yosefu walipopanda nao kuujia Beteli, Bwana akawa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyumba ya Yusufu nayo, wao nao walikwea kwenda juu ya Betheli; naye BWANA alikuwa pamoja nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa makabila ya Yosefu waliushambulia muji wa Beteli, naye Yawe alikuwa pamoja nao.