Judges 1:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwanza walikuwa wamewatuma wapelelezi kwenda kuupeleleza mji wa Betheli. Mji huo hapo awali uliitwa Luzu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo awali uliitwa Luzu),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mbari ya Yusufu wakatuma watu waende kuupeleleza Betheli. (Jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Luzu.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwanza walikuwa wamewatuma wapelelezi kwenda kuupeleleza mji wa Betheli. Mji huo hapo awali uliitwa Luzu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha watu wa ukoo wa Yusufu wakatuma watu waende kuupeleleza Betheli. (Jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Luzu.)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwanza walikuwa wamewatuma wapelelezi kwenda kuupeleleza mji wa Betheli. Mji huo hapo awali uliitwa Luzu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wa mlango wa Yosefu wakaupeleleza Beteli; nao jina la mji huu kale uliitwa jina lake Luzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mbari ya Yusufu wakatuma watu waende kuupeleleza Betheli. (Jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Luzu.)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwanza walikuwa wamewatuma wapelelezi kwenda kuupeleleza muji wa Beteli. Muji ule zamani uliitwa Luzi.